Timu Yetu
Watu wanaoongoza kazi ya DEFO katika haki, ujumuishaji, na uwezeshaji wa watu wenye ulemavu.

Team Member
Mkurugenzi Mtendaji
Anaongoza mkakati mkuu wa DEF na kuwakilisha taasisi kitaifa.

Team Member
Katibu Mkuu
Anasimamia utekelezaji wa mipango na kazi ya utetezi wa haki za DEF.

Team Member
Mhasibu
Account Officer anasimamia na kutunza kumbukumbu za fedha za taasisi. Anafuatilia mapato, matumizi na miamala ya fedha pamoja na kuandaa taarifa za kifedha. Anahakikisha uwazi, uwajibikaji na matumizi sahihi ya fedha za taasisi.

Team Member
Afisa Uhamasishaji Rasalimali
Anatafuta na kuhamasisha vyanzo vya fedha kwa ajili ya taasisi, ikiwemo wafadhili na washirika. Huandaa maombi ya ufadhili na kujenga mahusiano na wadau.

Team Member
Afisa mawasiliano na Teknolojia
Kusimamia miundombinu yote ya tehama katika kampuni
Team Member
Afisa Usafirishaji
kuratibu mifumo yote ya usafirishaji.











